
KIPRE JR AKAMILISHA USAJILI WA KUJIUNGA NA MC ALGER YA NCHINI ALGERIA
Azam FC watapata Kiasi Cha €200,000 ambayo inafika €220,000 Plus Bonuses ambayo ni sawa 619,323,099.78 Lakini pia Azam FC wameweka Kipengele Cha First Refusal kwa maana kama akitaka Kurejea tena Tanzania Azam wanatakiwa kutaarifiwa kwanza kama Wana uhitaji nae au sio ndo anaweza kwenda team nyingine. Hii inaonekana ni Biashara nzuri Kwa Azam FC kwasababu…