Mchambuzi wa michezo nchini @salehjembefacts amefanya mahojiano na Global Tv na kudai kuwa tetesi za Chama kuondoka Simba hata yeye anazisikia ila kiutaratibu mashabiki wanapaswa kungoja tamkoa rasmi la Klabu husika.
SIKIA KAULI ya SALEH JEMBE KUHUSU CHAMA KUSEPA SIMBA, KUTUA YANGA -“SIMBA WAMEAUMUA KUACHANA NAYE” – VIDEO
