BASHIRI MECHI ZA EURO LEO… SERBIA WATAKIWASHA DHIDI YA UINGEREZA

Wakali wa ubashiri Tanzania zima Meridianbet wanasema hivi bashiri mechi za EURO leo uweze kujiweke kwenye nafasi ya kupiga mkwanja wa maana kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa.

Mechi ya mapema leo hii ni hii ya Kundi D ambapo Poland wataumana dhidi ya Netherlands katika dimba la Volksparkstadion wakati Mholanzi akiwa amepewa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii kwa ODDS 1.57 kwa 5.48. Timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana, ilikuwa 2022 kwenye Kombe la Dunia na Poland alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?

Uholanzi ana wachezaji wakubwa wenye majina makubw ambao wanacheza ligi kuu mbalimbali kama vile, Van Dijk, Memphis Depay, Nathan Ake, Gakpo na wengine kibao huku kwa upande wa Poland staa wao ni Roberto Lewandowski, huku wengine wakiwa ni Golikipa wao Szczeny, Nivola Zalewski na wengine. Nani kuibuka mshindi?. Beti hapa.

Jumapili ya leo suka mkeka wako ndani ya Meridianbet upige mkwanja na mechi za EURO. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Slovenia atapepetana dhidi ya Denmark ambao wanapigwa upatu sana kuondoka na pointi tatu muhimu leo. Kama kawaida Meridianbet huchagua vilivyo bora kwa kukuwekea ODDS KUBWA mechi hii yaani ni 5.09 kwa 1.76.

Denmark ambayo ina wachezaji wakubwa kama Hojlund, Eriksen kutoka Man United, Christensen na wengine wanataka kuonesha ubora wao mbele ya Benjamin Sesko, Jan Oblak leo. Je Slovenia watakubali kuchapika leo baada ya mechi ya mwisho walipokutana 2023 kupoteza?. Jisajili hapa.

Macho ya wote yatakuwa saa nne usiku ambapo Serbia watakiwasha dhidi ya Uingereza, wanafainali hawa wa 2022. Uingereza wamepewa ODDS 1.47 kwa 7.84 kushinda mechi hii. Vijana hawa wa South Gate wanapewa nafasi ya kucheza fainali

kabisa ya EURO kutokana na wachezaji bora ambao wanao, akiwemo Harry Kane, Palmer, Foden, Mainoo, Rice na wengine huku kwa upande wa Serbia wao wana matumaini na Mitrovic ambaye anakipiga Al Hilal kule Saudia, Milinkovic Savic, Tadic. Je Uingereza kwenye EURO hii atafika wapi? Suka jamvi hapa.