KOCHA WA BORUSSIA DORTMUND ERDIN TERZIC ATANGAZA KUONDOKA

Kocha mkuu wa klabu ya Borussia Dortmund Erdin Terzic ametangaza kuondoka klabuni hapo rasmi.

Msimu wa 2023/24 haukuwa wa mafanikio kwake kwa maana ya kubeba vikombe lakini amewaacha na kumbu kumbu ya Fainali ya UEFA baada ya miaka 11