VIDEO: JEMBE AWAVAA WAJUMBE WA SIMBA ISHU YA MO

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo, Saleh Ally ameweka wazi kuwa wa msimu mitatu sasa Simba haijawa kwenye mwendo mzuri huku akiwapa pongezi wale wajumbe ambao wamebwaga manyanga na kuzungumzia ishu ya wajumbe ambao wamebainisha kuwa kufeli kwao ni kutokana na MO.