KAMATI YA UTENDAJI YA YANGA WAFANYA KIKAO MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU

Kamati ya Utendaji ya Young Africans SC chini ya Rais Eng.Hersi Said leo tarehe 07/06/2024 imefanya kikao maalumu cha maandalizi ya Mkutano mkuu wa Wanachama (Annual General Meeting – AGM) kilichofanyika katika ukumbi wa Urban By City Blue, Masaki Jijini Dar Es Salaam.