
SPORTPESA YATOA BONASI KWA YANGA MILIONI 537.5 KWA MAFANIKIO YA MSIMU ULIOMALIZIKA
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPESA ambayo ni Mdhamini Mkuu wa klabu ya Yanga imeikabidhi klabu hiyo mfano wa Hundi yenye thamani ya milioni 537.5 kama bonasi ya mafanikio ya klabu hiyo msimu uliomalizika. “Leo tunakabidhi mfano wa Hundi kwa Klabu ya Young Africans SC kama BONUS ya mafanikio ya msimu. Hundi hii ina…