MCHEZAJI BORA FAINALI CRDB FEDERATION CUP AKIRI HAIKUWA RAHISI
KITASA wa kazi ndani ya Yanga ambaye ni beki chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Miguel Gamondi amebainisha kuwa haikuwa rahisi kwenye mchezo wa fainali ya CRDB Federation Cup. Ni Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ ambaye baada ya mchezo kukamilika alichaguliwa kuwa Mchezaji Bora mechi ya fainali hiyo iliyochezwa Uwanja wa New Amaan Complex. Kazi kubwa aliyofanya…