
MWAKINYO AFUNGUKIA ISHU YAKE NA AZAM
BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amewaomba radhi mashabiki wake kwa sintofahamu iliyojitokeza usiku wa Ijumaa ya Mei 31, katika ukumbi wa Warehouse Masaki ambako alitarajiwa kupigana na Mghana, Patrick Allotey na jambo hilo kushindikana dakika za mwisho za usiku ule. Kutokana na sintofahamu hiyo, Mwakinyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, amesema hakuna shida yoyote…