SportsKAZI IMEANZA, ORODHA YA MASTAA SIMBA WATAKAOSEPA Saleh6 months ago01 mins BAADA ya Simba kupishana na mataji msimu wa 2023/24 ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Bara, CRDB Federation kuna mastaa ambao wapo kwenye hesabu za kuondoka hapo na wengine wameanza kuaga kwa wachezaji pamoja na viongozi ndani ya timu hiyo. Post navigation Previous: KOMBE LA YANGA LATUA KILELE CHA MT. KILIMANJARONext: MATAJIRI WA DAR KAMILI KUIKABILI YANGA