YANGA YAGOMEA KISASI, PILATO HUYU HAPA FAINALI
KUELEKEA katika mchezo wa fainali ya CRDB Federation Cup Juni 2 2024 kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, mabingwa watetezi wamegomea kulipa kisasi. Ipo wazi kuwa Yanga ni mabingwa watetezi wa taji hilo wanakumbuka walipokutana katika mchezo wa ligi mzunguko wa pili walipotoza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa….