HII HAPA DROO YA HATUA YA 16 BORA EURO 2024

DROO YA HATUA YA 16 BORA #EURO2024 Uhispania ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ vs ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช Georgia Ujerumani ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช vs ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ Denmark Ureno ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น vs ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia Ufaransa ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท vs ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Ubelgiji Romania ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด vs ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Uholanzi

Read More

CONFIRMED: MZAMIRU AONGEZA MIAKA MIWILI

Kiungo mkabaji wa Simba, Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia Msimbazi. Mkataba wa Mzamiru umemalizika mwishoni mwa msimu huu na mapendekezo ya kiufundi yamependekeza mchezaji huyo kubaki kutokana na mchango wake, hivyo uongozi wa Simba umemuongezea miaka mingine miwili ya kuendelea kusalia kikosini.

Read More

YANGA KAMBINI JULAI MOSI

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao wa 2024/25 (Pre Season) kwa kikosi cha Yanga yataanza Julai Mosi. Kupitia taarifa ya klabu hiyo imeelezwa kuwa kuhusu ni wapi kambi hiyo itawekwa na juu ya kikosi cha msimu huo kwa maana ya wachezaji wapya na walioachwa itajulikana wakati…

Read More

HOT KENO KASINO, SHINDA MAMILIONI

Kasino imejaa utajiri! Moja ya michezo inayoweza kukupa hela kubwa leo, ni mchezo wa namba unaofanya vizuri madukani na kwenye kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa kasino unaitwa Hot Keno. Jisajili hapa ili uwe Milionea kwa dau lako dogo tu. Mchezo wa Hot Keno ni mchezo wa kasino ya mtandaoni wa Meridianbet uliotengenezwa na EGT…

Read More

EURO INAZIDI KUPAMBA MOTO BETI SASA NA MERIDIANBET

Wakali wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet wanakwambia hivi, wakati huu ndio wako wa kutusua mapene na mechi hizi za EURO na COPA AMERICA. Usisubiri kuhadithiwa ingia na ujaribu bahati yako. Didier Deschamps na France yake wataumana dhidi ya Poland ambao ndio vibonde wa kundi D wakiwa hawajashinda mechi hata moja mpaka sasa. Meridianbet wamempa nafasi…

Read More