
HUYU HAPA MRITHI MIKOBA YA BENCHIKHA SIMBA
INAELEZWA kuwa kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Abdelhak Benchikha ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola ambapo mchezo wao ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji unatarajiwa kuchezwa Mei 17 2024 Uwanja wa Jamhuri,…