Skip to content
UWANJA wa Azam Complex
Yanga 2-1 Tanzania Prisons
Goal kwa Prisons Benno dakika ya 4
Mabao kwa Yanga ni Aziz KI dakika ya 9 na 11
FUNGA kazi msimu wa 2023/24 ni leo ambapo timu zipo kazini kusaka pointi tatu.
Yanga ipo Uwanja wa Azam Complex, Simba Uwanja wa Mkapa inapambana na JKT Tanzania.
Azam FC ni dhidi ya Geita Gold.