SportsONYO LATOLEWA KWA ATAKAYEMSAJILI KIBU DENNIS Saleh7 months ago01 mins BOSI wa Simba, kwenye idara ya Habari na Mawasiliano Ahmed Ally ameweka wazi kuwa timu ambayo itamsajili mchezaji wao Kibu Dennis itafilisiwa kwa kuwa bado mchezaji huyo ana mkataba na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda. Post navigation Previous: Zaidi ya TZS Milioni 400 Kutolewa na Shindano la ExpanseNext: MTU WA KAZI ANASEPA YANGA