LIGI KUU BARA: DODOMA JIJI 0-1 SIMBA
FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Dodoma Jiji 0-1 Simba Goal Michael Fred dakika ya 7 DODOMA Jiji wapo nyumbani Uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakisaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Simba ikiwa ugenini nayo hesabu zake ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo ambao una ushindani mkubwa….