DEAR MSOMI KAZI KALI KUTOKA KWA NYASUBI

DEAR msomi ni zawadi ya mwamba Nacha A Sound From Nyasubi anakwambia mafanikio na elimu haviusiani unajikuta unajikuta dalali na ulisomea urubani, nyumbani huwezi kaa sio vimbetwa. Kazi kubwa ya ubongo wa mwamba anayefanya vema katika muziki wa kizazi kipya akiwa na mkali kutoka Morogoro Stamina halafu kiitikio ni sauti ya Mkwawa. Stamina anasema shepu…

Read More

HUYU HAPA MRITHI MIKOBA YA BENCHIKHA SIMBA

INAELEZWA kuwa kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge anatajwa kuja kuchukua mikoba ya Abdelhak Benchikha ambaye amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Simba inanolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda akishirikiana na Seleman Matola ambapo mchezo wao ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji unatarajiwa kuchezwa Mei 17 2024 Uwanja wa Jamhuri,…

Read More

MANCHESTER UNITED NA CHELSEA ZIMEIBUKA NA USHINDI EPL

Manchester United na Chelsea zimeibuka na ushindi kwenye mechi zao huku Chelsea ikisogea mpaka nafasi ya sita kufuatia ushindi huo wakati Manchester United ikiendelea kusalia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa Ligi Kuu England. FT: Man United 3-2 Newcastle United ⚽ Mainoo 31’ ⚽ Diallo 57’ ⚽ Højlund 84’ ⚽ Gordon 49’ ⚽ Hall 90+2’…

Read More

KLABU ZINAZOSHIRIKI EPL KUPIGA KURA YA KUFUTA MATUMIZI YA ‘VAR’

Klabu zinazoshiriki Premier League zimeombwa kuunga mkono hoja iliyowasilishwa na Klabu ya Wolverhampton Wanderers inayopendekeza azimio la kupiga Kura ya kufuta Matumizi ya ‘VAR’ kuanzia Msimu ujao – Pendekezo hilo ambalo linadaiwa kupingwa na Bodi ya Ligi Kuu linatarajiwa kusikilizwa Juni 6, 2024 ambapo imeelezwa Bodi inatambua haki ya Wolves kutoa pendekezo hilo, lakini inadhani…

Read More

YANGA BALAA KWENYE UTUPIAJI HUKO

MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Yanga ni balaa kwenye utupiaji wakiwa ni namba moja katika timu iliyofunga mabao mengi msimu wa 2023/24. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ni mabao 60 timu hiyo imefunga baada ya kucheza jumla ya mechi 27 ikibakiwa na mechi tatu kukamilisha mzunguko wa pili. Kinara wa utupiaji ndani ya Yanga…

Read More