FURAHA YATAWALA SIKU YA MAMA KIGAMBONI

Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ndio waliofanikisha furaha hiyo kwa kutoa msaada katika eneo hilo Imekua utamaduni kwa magwiji hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao na leo wamefanikiwa kutoa…

Read More

TANO BORA VITA NI KALI KWELI

VITA ndani ya tano bora ni kali msimu wa 2023/24 kwa kila timu kupambania pointi tatu ndani ya dakika 90 kufikia malengo yao. Ikumbukwe kwamba Mei 10 2024 vumbi kwenye ligi iliendelea huku Coastal Unio wakionyesha ubabe mbele ya wakali kutoka Singida, Singida Fountain Gate ambao kwa sasa makazi yao yapo Mwanza. Baada ya dakika…

Read More

ULINZI UNYAMANI NI PASUA KICHWA

NDANI ya tatu bora msimu wa 2023/24 kikosi cha Simba kwenye ulinzi ni pasua kichwa baada ya kucheza mechi 25 kwenye mechi za ushindani. Ni Kariakoo Dabi mzunguko wa kwanza unaingia kwenye orodha ya mchezo ulikusanya mabao mengi kwa Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo huo ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga na pointi…

Read More

Jumamosi ya Leo Pesa Ipo Meridianbet

Utamu unaanza hii leo ukiaanza kubashiri na Meridinabet ambao ndio mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania. Unachagua kila ambacho unakitaka wewe. Pesa ipo wazi yaani. Usisubiri kuahadithiwa. Ligi kuu ya Hispania LALIGA kuna mechi za pesa kibao, majira ya saa 11:15 jioni Villarreal atakuwa mwenyeji wa Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee….

Read More

AZAM FC: TUTAREJEA TUKIWA IMARA

NYOTA wa Azam FC, Feisal Salum amebainisha kuwa watarejea uwanjani wakiwa imara zaidi licha ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Simba. Ipo wazi kwamba kwenye Mzizima Dabi mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 9 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 0-3 Simba. Kiungo Fei Toto kwenye mchezo huo alikosa penalti baada…

Read More

KYLIAN MBAPPÉ ATHIBITISHA KUWA ATAONDOKA PSG

Mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappé amethibitisha kuwa ataondoka klabuni hapo mwisho wa msimu huu. Mbappé amesema hayo kupitia picha jongeo kwenye mitandao ya kijamii ingawa hajabainisha ni wapi ataelekea. Paris Saint-Germain hawajamjumuisha Kylian Mbappe kwenye chapisho la mtandao wa kijamii wakitangaza jezi zao mpya hali inayoashiria kuwa nyota huyo raia wa Ufaransa hayupo kwenye mipango…

Read More