WAMEWAKA MASTAA HAWA YANGA, UBINGWA WANUKIA

MASTAA wa Yanga wamekuwa kwenye ubora wao ndani ya uwanja kwa kupambania ushindi ndani ya uwanja katika mechi ambazo wanacheza ambapo miongoni mwa wale wanaofanya vizuri ni pamoja na Joseph Guede, Aziz KI, Dickson Job. Yanga ni vinara wa ligi wanapambania kutwaa taji la 30 ndani ya Ligi Kuu Bara chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.