Liverpool wamefufua matumaini yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kufuatia ushindi mnono wa 4-2 dhidi ya Tottenham Hotspur katika dimba la Anfield.
FT: Liverpool 4-2 Tottenham
⚽ Salah 16’
⚽ Robertson 45’
⚽ Gakpo 50’
⚽ Elliott 59’
⚽ Richarlison 72’
⚽ Heung-Min 77’
MSIMAMO ?3️⃣ EPL ???????
? Arsenal— mechi 36— pointi — 83
? Man City— mechi 35— pointi — 82
? Liverpool— mechi 36 — pointi — 78