SIMBA 2-0 MTIBWA SUGAR, AZAM COMPLEX

FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Azam Complex Simba 2-0 Mtibwa Sugar Goal Michael Fred dakika ya 35. Saleh Karabaka dk 64. Mchezo wa mzunguko wa pili ni Simba v Mtibwa Sugar kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Simba mchezo wake uliopita ilikuwa ugenini ubao wa Uwanja wa Majaliwa…

Read More

MTIBWA SUGAR HAINA HOFU NA SIMBA

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa hawana hofu na mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar, Uwanja wa Azam Complex, Mei 3 2024. Ipo wazi kwamba mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja…

Read More

Anza Wikendi Yako na Meridianbet Leo

Je unaanzaje wikendi yako?. Kama hujui ni rahisi sana unachotakiw akufanya ni kuingia meridianbet sasa na kusuka jamvi lako la maana kabisa ambalo unajua kuwa lazima utoboe. BUNDESLIGA itarindima leo ambapo RB Leipzig baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya TSG Hoffenheim. Mwenyeji ametoka kupoteza mchezo wake…

Read More

TAMKO LA SIMBA ISHU YA KIBU DENNIS

WAKATI tetesi zikieleza kuwa Kibu Dennis kagomea kuongeza dili jipya ndani ya timu hiyo akiwa na ofa zaidi ya tatu mezani kimtindo uongozi wa Simba umejibu hoja hiyo. Ipo wazi kwamba Kibu ni chaguo la kwanza la makocha wote ambao wamepita Simba ikiwa ni Robert Oliveira, Abdelhakh Benchikha na sasa Juma Mgunda. Kibu anatajwa kuwa…

Read More

AZAM FC KUPAMBANA DHIDI YA NAMUNGO

MATAJIRI wa Dar Azam FC leo Mei 3 2024 wanakibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa CRDB Federation dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya robo fainali saa 2:300 usiku kwa wababe hao wawili kusaka ushindi kwa timu itakayotinga hatua ya nusu fainali. Tayari kwenye robo…

Read More

VIDEO: SAKATA LA CHAMA KUFUNGIWA TAMKO LA SIMBA HILI HAPA

KIUNGO wa Simba Clatous Chama ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kutokana na adhabu ya kufungiwa mechi tatu kwa kosa la kumchezea faulo nyota wa Yanga, Nickson Kibabage kwenye Kariakoo Dabi. Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba alipoulizwa kuhusu kumksa Chama alibainisha kuwa wapo wachezaji…

Read More

KIVUMBI KITAWAKA KWA MKAPA MZIZIMA DABI

ULE mchezo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki Bongo Mzizima Dabi umepangiwa tarehe na sasa siku zinahesabika kufika muda wa wababe wawili kusaka ushindi. Ni Mzizima Dabi inatarajiwa kuwa Mei 9 kwa wababe wawili Azam FC kumenyana na Simba. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba baada ya dakika…

Read More