
JONAS MKUDE APENYA KUWANIA TUZO
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Jonas Mkude maarufu kwa jina la Nungunungu amepenya kwenye orodha ya wachezaji watatu wanaowania tuzo ya mchezaji bora ndani ya kikosi hicho. Mkude amekuwa katika ubora wake hivi karibuni baada ya kupewa nafasi kucheza katika mechi za ushindani alikuwa kwenye kikosi cha Yanga kilichokomba pointi tatu dhidi…