
SERIKALI YAIPA TANO YANGA
NAIBU Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amewapa tano viongozi wa Yanga kwa kuandaa usafiri wa basi kwa ajili ya mashabiki kuelekea Afrika Kusini. Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns baada ya ule wa mkondo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutoshana…