TENGENEZA STRAWBERRY COCKTAIL NYUMBANI KWAKO FANYA HAYA HUKU UKICHEZA MERIDIANBET KASINO

Utaandaa matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe ni jamii ya matunda ya limao, embe, parachichi, halafu kwenye kusaga usitumie maji tumia juisi ya Apple, au zabibu, maziwa na asali pamoja na sukari nyeupe. Jisajili Meridianbet upate bonasi za kasino na michezo mingi ya bure.

Utachagua unaanza kusaga matunda gani kwa mfano utaanza na parachichi unaweza kutumia maziwa na asali au sukari, Cacktail ni juisi maarufu kwa nchi za kiarabu, unaweza kutengeneza nyumbani kwako ukatumia kama kinywaji.

Ili kupata Rangi nyekundu unaweza kutumia strawberry, pera na unaposaga kwenye mashine hakikisha inakuwa ni nzito.

Kisha utasaga tunda jingine la Cantaloupe na shamam, unachanganya na ndimu au maziwa baada ya hapo unaanza kuchanganya mchanganyiko wako kwenye glasi ili kutengeneza muonekano wenye rangi tatu kisha unaweka kwenye friji yako ili ipate ubaridi na utumie kama kifungua kinywa/ au staftahi kwaajili ya asubuhi. Meridianbet kasino ya mtandaoni inaelezea kwa kina kabisa utamu wa Cocktail ya Strawberry huu ni mchezo wa sloti utakaokufanya uwe milionea.

Tabia za Msingi

Strawberry Cocktail ni mchezo wa kasino ya mtandaoni kutoka Pragmatic Play wenye nguzo tano zilizowekwa katika mistari mitatu na ina mistari 10 ya malipo. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima kuunganisha alama tatu au zaidi zinazofanana kwenye mstari mmoja wa malipo.

Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa katika mchezo wa bonasi za kasino, huzingatiwa kutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.

Wakati ukiendelea kufurahia utamu wa Strawberry Cocktail kupitia kasino ya mtandaoni kando na kitufe cha Spin, kuna sehemu za kuongeza na kupunguza thamani ya dau kwa kila mzunguko.

Pia mchezo huu wa kwasino ya mtandaoni una chaguo la Autoplay ambalo unaweza kuweka hadi mizunguko 1,000 ambapo chaguo hili unaweza kuamsha ku turbo.

Alama za Strawberry Cocktail

Alama za ushindi katika mchezo huu ni kama ifuatavyo, alama za kadi za kawaida huleta malipo ya chini, yaani, rangi: spade, almasi, moyo, na joka. Alama ya spade huleta thamani kubwa zaidi miongoni mwao. Ikiwa utaunganisha alama hizi tano kwenye mstari wa malipo, utapata mara 15 zaidi ya dau.

Alama zote za msingi zinawakilishwa na Cocktail. Alama inayoleta malipo ya chini kabisa ni Cocktail yenye rangi ya kijani. Ikiwa utaunganisha alama hizi tano kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 30 zaidi ya dau ulilocheza kwenye mchezo huu wa kasino ya mtandaoni.

Cocktail yenye rangi ya njano itakupatia malipo ya juu kidogo. Ikiwa utaunganisha alama hizi tano kwenye mstari wa malipo, utapata mara 100 zaidi ya dau.

Cocktail yenye matunda ya Strawberry ambayo imepambwa na limau kwenye glasi itakupatia malipo makubwa zaidi. Ikiwa utaunganisha alama hizi tano kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 1,000 zaidi ya dau. Tumia nafasi hii na upate ushindi wa kushangaza kupitia mchezo huu kasino ya mtandaoni.

Jokeri inawakilishwa na alama ya Wild na inaonekana kwenye nguzo zote. Inabadilisha alama zote isipokuwa bonasi na kuwasaidia katika kuunda mchanganyiko wa ushindi.

Kwa kuongezea, hii ni moja ya alama muhimu sana katika mchezo na inaleta malipo sawa na alama ya msingi ya Strawberry.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz