
SIMBA KAMILI KUWAKABILI YANGA KWA MKAPA
SHOMARI Kapombe, beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga. Aprili 20 2024 mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu hizo kukutana. Ipo wazi kwamba kwenye mzunguko wa kwanza ubao…