A Sound From Njombe, Chris Jabari mwamba anayepeperusha Bendera ya Bongo Fleva kutoka pande za Njombe leo anatimiza miaka kadhaa ikiwa ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani. Maisha mema kijana uzidi kupambania ndoto zako kila wakati. Link hii hapa kusikiliza ngoma zake