
YANGA WANAKITU, AZIZ KI ANASEPA
MWAMBA Aziz KI kafanya kazi kubwa ndani ya Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns dakika zote 180 wakitoshana nguvu uwanjani na kuondolewa kwa changamoto za penalti. Yanga imeonyesha ukomavu mkubwa katika mechi zote mbili hakika wanastahili pongezi kwa kazi kubwa mbele ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Kwenye changamoto za penalti…