ALICHOKIFANYA CLATOUS CHAMA DHIDI YA WAARABU NA TAMKO LAKE

MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri uliochezwa Uwanja wa Mkapa alikuwa na kazi kubwa kushirikiana na wachezaji wengine kusaka ushindi licha ya kupoteza mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa baada ya dakika 90 ilikuwa Simba 0-1 Al Ahly. Mchezo ujao unatarajiwa kuchezwa Aprili 5 2024 ambapo itakuwa ni robo fainali Mkondo wa pili