HABARI YA KUSHTUA ALIYEKUWA KOCHA SIMBA AFARIKI
HABARI yenye mshtuko kwenye kiwanda cha Michezo na Burudani ni kutangulia mbele za haki Adel Zraine aliyewahi kuwa kocha wa viungo ndani ya kikosi cha Simba. Kabla ya kufikwa na umauti wake alikuwa anafanya kazi na Klabu ya APR FC ya Rwanda iliyoshiriki Mapinduzi 2024. Taarifa kutoka Klabu ya APR FC zimesema: “Ni huzuni kubwa…