VIDEO: DOROTHY MRITHI WA ZITTO AJIBU KWA NINI MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR HANA NGUVU KAMA MAKAMU WA PILI
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo aliyechukua nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya chama hicho, mwanamama Dorothy Semu amefunguka juu ya mjadala na maswali kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman anayetokana na ACT hana nguvu ukilinganisha na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla. Katika mahojiano…