
HUYU HAPA ANATAKIWA NA YANGA ROBO FAINALI CAF
HUYU hapa anatakiwa na Yanga katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24
HUYU hapa anatakiwa na Yanga katika hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2023/24
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa sababu kubwa ya kuvunja benchi lao la ufundi ni matokeo yasiyoridhisha kwenye mechi za hivi karibuni. Machi 6 2024 uongozi wa Singida Fountain Gate ulibainisha kuwa umevunja benchi lake la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Thabo Senong na msaidizi wake Nizar Khalfan. Yote haya yanatokea kutokana na…
KIUNGO mgumu ndani ya kikosi cha Simba Sadio Kanoute hayupo kwenye mpango wa kuendelea kupambania timu hiyo kutokana na kutokuwa fiti alikosekana kwenye mechi kadhaa za Simba mara ya mwisho kuanza kikosi cha kwanza ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya TRA Kilimanjaro wa Kombe la Azam Sports Federation
AZAM FC wamepindua meza kibabe baada ya kuambulia pointi moja mbele ya Coastal Union katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 1-1 Coastal Union kwa wababe hao kugawana pointi mojamoja ambapo katika mzunguko wa kwanza Azam FC walivuna pointi tatu. Bao la Coastal Union lilifungwa na Semfuko…
ANA balaa zito ndani ya uwanja kiungo Pacome akiwa ndani ya uwanja kutimiza majukumu yake chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi akiwa ni chaguo la kwanza.
Anza safari kuelekea sayari ya mbali Zaidi nje ya ulimwengu huu kushuhudia maajabu ya nje ya dunia, safari hii itakupeleka mpaka sayari ya kujifikirika ya Planet 67 kupitia Meridianbet Kasino ya Mtandaoni. Planet 67 ni mchezo wa bingo wa kasino ya mtandaoni wenye nambari 90 ambapo wachezaji wanaweza kucheza hadi kadi 4 kwa kila duru…
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’. Mangungu amesema hayo baada ya kipande cha video kusambaa mitandaoni kikimuonesha Mo Dewji akihojiwa na kueleza kuwa ameinunua Simba kwa dola milioni 20 (zaidi ya Tsh bilioni 51), jambo ambalo liliibua…
FT: Mchezo wa ligi Simba 1-2 Tanzania Prisons Samson Mbagula goal dk 45, 62. Goal kwa Simba ni Fabrince Ngoma dk 89. AISHI Manula atajilaumu mwenyewe kwa kukaa kwa sekunde kadhaa akiwa langoni huku mpira ukiwa unaelekea langoni mwake na kumpa nafasi mpigaji kufunga kipindi cha kwanza. Samson Mbangula alitumia makosa ya Simba kuwa wengi…
MACHI 6 2024 kikosi cha Simba kina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Tanzania Prisons mchezo utakaochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Aishi Manula, Shomari Kapombe, Israel Kwenda, Henock Inonga, Kennedy Musonda, Babacar Sarr, Mzamiru Yassin, Fabrice Ngoma, Freddy Michael, Clatous Çhama na Kibu Dennis. Benchi ni Ayoub Lakred, Zimbwe, Duchu, Kazi, Hamish, Ntibanzokiza, Chasambi,…
Hatimae mshindi wa ile Jackpot ya kibabe kabisa mjini chini ya mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet imepata mshindi wake, Ambapo amepatikana mshindi wa kiasi cha Milioni 10 baada ya kupata timu 12 kati ya 13 kwenye Jackpot. Mshindi huyo wa Jackpot ya Meridianbet anayefahamika kama Elia Erick kutoka mkoani Morogoro alifanikiwa kushinda kupatia michezo…
AFRIKA iatambua kwamba Yanga imeweka rekodi yake katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambaye kete zake na ushindani wa wachezaji kutimiza majukumu yao kwa umakini yamewafikisha hapo walipo.
KUNA kete za moto ndani ya kikosi cha Simba ambacho kina kazi nzito ya kusaka pointi tatu dhidi ya wapinzani wao ambao nao pia wanazihitaji pointi hizo tatu kwa namna yoyote ile kutoakana na ushindani wa ligi kuwa mkubwa. Wakiwa wameshatinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kazi inatarajiwa kuendelea ndani ya Ligi…
NYOTA Feisal Salum gari limewaka ndani ya uwanja kutokana na kasi yake kuzidi kupamba moto akiwa anatimiza majukumu yake ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani. Mzawa huyo ni namba moja kwenye chati ya wafungaji Bongo akiwa katupia jumla ya mabao 11 yupo ndani ya Azam FC akitimiza majukumu yake na mechi za nyumbani huwa…
MASTAA Simba wamewachanganya mabosi wa timu hiyo kutokana na ubora walionao kwenye kutimiza majukumu yao uwanjani
Mechi za Yanga kabla ya mechi za Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. ? Namungo – Machi 8 (Ruangwa) ? Ihefu Sc – Machi 11 (DSM) ? Geita Gold – Machi 14 (DSM) ? Azam Fc – Machi 17 (DSM)
Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli kwa ripoti zilizopo mchezo huu ni miongoni mwa michezo 10 pendwa inayoongoza kwa watu kuicheza. Waliotengeneza mchezo huu ni kampuni ya Expnase studios na kisha Meridianbet ikachukua jukumu la kuuleta kiganjani kwako, na kukupa ofa…