SportsMWAMBA CLATOUS CHAMA MDOGOMDOGO ANAJITAFUTA Saleh9 months ago01 mins MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama anajitafuta ndani ya Simba akirejea kwenye ubora wake taratibu akiwa ni kinara wa pasi za mwisho za mabao msimu wa 2023/24 huku Simba wakiwa nafasi ya tatu na wamefunga mabao 39 ndani ya Ligi Kuu Bara Post navigation Previous: YANGA HAINA HOFU NA MAMELODI KWAO AMANI TUNext: SIMBA HESABU KIMATAIFA KUONGEZA DOZI, AL AHLY KUTUA LEO