BEKI WA KAZI YANGA AKIRI UGUMU WANAOPATA
BEKI wa Yanga, Gift Fred amebainisha kuwa kazi ni ngumu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara kutokana na ushindani wanaopata kutoka kwa wapinzani wao uwanjani. Fred bado hajawa ni chaguo la kwanza chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kwenye mechi ambazo anapewa nafasi miguu yake haikuwa na ajizi katika kutimiza majukumu yake. Ikumbukwe kwamba miongoni…