KOCHA TABORA UNITED AKUTANA NA THANK YOU

UONGOZI wa Klabu ya Tabora United umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu Goran Copnovic raia wa Serbia.Rasmi leo Machi 21 2024 taarifa imetolewa baada ya awali tetesi kueleza kuwa kocha huyo amesitishiwa mkataba wake kutokana na mwendo mbovo wa timu hiyo. Tabora United imefikia uamuzi huo kutokana na…

Read More

HIVI HAPA VIINGILIO MECHI YA SIMBA V AL AHLY

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly nguzo kubwa ya ushindi ni mashabiki jambo ambalo limewafanya waweke viingilio rafiki. Ipo wazi kwamba Simba ina kibarua cha kusaka ushindi mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hatua ya robo fainali Machi 29 2024 Uwanja…

Read More

YANGA: TUTAPAMBANA MPAKA TONE LA MWISHO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa watapambana mpaka tone la mwisho kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ikumbukwe kwamba Yanga katika mzunguko wa kwanza ilipoteza mchezo mmoja pekee ugenini kwa kuhushudia ubao wa Uwanja wa Highland Estate ukisoma Ihefu 2-1…

Read More

BETPAWA YADHAMINI TIMU ZA TAIFA KIKAPU KWA MABILIONI

 TIMU za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa wenye thamani ya sh2.6 bilioni za Uganda, sawa n ash Bilioni 1.8 za Kitanzania. Mkataba wa udhamini huo wa miaka mitatu ulisainiwa jana kati ya maofisa wa Shirikisho la Mpira wa…

Read More

SIMBA MPYA KUIKABILI AL AHLY KWA MKAPA

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu uliopo kwenye mashindano wanayocheza lakini wapo tayari kuona kwamba wanashinda mchezo huo ambao ni muhimu kwao. Simba inapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi ambapo kuna timu mbili kutoka Tanzania. Yanga wao watakuwa na…

Read More