MILIONI 10 KATIKA HATUA YA ROBO FAINALI KWA SIMBA NA YANGA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali.