AKILI ZA SIMBA SASA ANGA LA KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa mpango mkubwa kwa sasa  ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Al Ahly ya Misri. Timu hiyo imetinga hatua hiyo ikiwa nafasi ya pili kwenye kundi B na pointi zake ni 9 inatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Uwanja wa Mkapa….

Read More

AZIZ KI MKALI WA MZIZIMA DABI

WAKATI wakitarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa pointi tatu muhimu mkali wa Mzizizma Dabi ni Aziz KI. Aziz KI kahusika kwenye mabao 19 kati ya 48 yaliyofungwa na Yanga akiwa kafunga 13 na kutengeneza pasi za mabao 6 msimu wa 2023/24 kwenye ligi. Ni yeye mzunguko wa kwanza dhidi ya Azam FC alifunga…

Read More

MKALI WA NYAVU AZAM FC HUYU HAPA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC mkali wao wa kucheka na nyavu ni Feisal Salum akiwa kafunga jumla ya mabao 12 kati 45 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya tatu na pointi 44 baada ya kucheza mechi 20. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika kuelekea mchezo wao dhidi ya…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE YAPETA, KADI ZATAWALA

KAZI imeanza kwa kocha mpya wa Singida Fountain Gate Jamhuri Kihwelo (Julio) kwenye mchezo wa kwanza kukaa benchi ameanza kwa ushindi na kukomba pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba Julio alitambulishwa kuifundisha timu hiyo Machi 13 2024 na kupewa ajenda 10 muhimu ambazo ni mechi za ligi 10, ya kwanza imekamilikabado kete 9 mkononi. Singida Fountain…

Read More