VIDEO: SIMBA WAFUNGUKIA UWANJA WA AZAM COMPLEX, AL AHLY KISASI

MZEE wa pasi milioni ameweka wazi kuwa wachezaji wa Simba wamekuwa na spidi huku kipa Ayoub Lakred akiwa ni moja ya kipa anayefanya kazi kwa umakini kwenye lango kwa upande wa Uwanja wa Azam Complex ameweka wazi kuwa ni moja ya uwanja bora huku kwenye anga la kimataifa wana kisasi na Al Ahly Ligi ya Mabingwa Afrika.