AMETUPA jiwe gizani Ali Kamwe kuhusu timu kuuzwa bila kujua na kubainisha kuwa watakuwa na kazi kubwa kuendeleza kasi yao ya kusaka ushindi kwenye mechi ambazo wanacheza ndani ya uwanja. Ipo wazi kwamba Yanga ni vinara wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 wakiwa na pointi 49 baada ya kucheza jumla ya mechi 18