MANGUNGU: SIMBA HAIJAUZWA, HAITOUZWA, MUULIZENI YEYE MO DEWJI!
MWENYEKITI wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’. Mangungu amesema hayo baada ya kipande cha video kusambaa mitandaoni kikimuonesha Mo Dewji akihojiwa na kueleza kuwa ameinunua Simba kwa dola milioni 20 (zaidi ya Tsh bilioni 51), jambo ambalo liliibua…