PROMOSHENI KABAMBE YALETWA MJINI ‘CHOMOKA NA BAJAJ’
Hapa Meridianbet pale Tigo kwa ushirikiano wao wamekuja na promosheni kabambe ambayo itadumu kwa mwezi mmoja kuanzia Machi 1 mpaka April 31 itakayotoa zawadi za kutosha kila wiki, Ambapo promosheni hii itahusu wateja wanaobashiri kupitia Meridianbet na kuweka pesa kwenye akauti za Tigo Pesa. Kampuni hizi mbili zimedhamiria kuwafurahisha wateja wao kwani mteja yeyote ambaye…