AZAM FC KASI YAO INAZIDI
MIAMBA Azam FC wamezidi kujiongezea ngome nafasi ya pili baada ya kukomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba ubao ulisoma Singida Fountain Gate 0-1 Azam FC bao lilifungwa na Kipre Junior dakika ya 53. Azam FC inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 18 vinara ni…