VIDEO: JEMBE: MSIMFANANISHE CHAMA NA PACOME
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo Afrika Mashariki na Kati, Saleh Ally ameweka wazi kuhusu suala la mlinganisho wa miamba wawili Clatous Chama anayepambania majukumu yake ndani ya Simba pamoja na Pacome ambaye ni mali ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi