SIMBA NA ASEC WATOKA SARE, JWANENG GALAXY VS WYDAD KUCHEZA LEO

Mnyama anaondoka na pointi moja katika dimba la Félix Houphouët-Boigny, Abidjan kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas.

FT: Asec Mimosas ?? 0-0 ?? Simba SC

MSIMAMO KUNDI B
1. ?? Asec — 11
2. ?? Simba — 6
3. ?? Jwaneng — 4
4. ?? Wydad — 3

LEO KUNDI B: Jwaneng Galaxy ?? vs ?? Wydad AC