YANGA YATINGA ROBO FAINALI KIBABE
Wananchi wanaandika historia ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria kwenye hatua ya makundi. FT: Young Africans ?? 4-0 ?? CR Belouizdad ⚽️ Mudathir Yahya 43’ ⚽️ Aziz Ki 46’ ⚽️ Kennedy Musonda 48’ ⚽ Joseph Guede…