SportsBOSI YANGA AMETUMA KOMBORA KWA SIMBA KIMTINDO Saleh10 months ago01 mins WAKIWA ni vinara wa Ligi Kuu Bara ndani ya msimu wa 2023/24 uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuwa kwenye mwendelezo mzuri wa kazi ndani ya uwanja huku akiwaambia mashabiki kuwa wale ambao wamechagua timu hiyo wamechagua furaha. Post navigation Previous: SIMBA NDANI YA IVORY COAST KUIWINDA ASEC MIMOSASNext: TABORA UNITED NGUVU ZAO NI FA SASA