YANGA KWENYE KIBARUA MBELE YA POLISI TANZANIA
WAKIWA kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad Jumamosi, Uwanja wa Mkapa, Yanga leo wanakibarua mbele ya Polisi Tanzania. Ni mchezo wa Azam Sports Federation hatua ya 16 bora unaotarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku sawa na muda wa mchezo wao ujao Ligi ya Mabingwa Afrika ambao…