SportsKIUNGO HUYU YANGA ANA BALAA UWANJANI Saleh10 months ago01 mins KHALID Aucho kiungo wa Yanga anabalaa akiwa uwanjani kwa kutembeza mikato ya kimyakimya jambo ambalo wakati mwingine limekuwa tatizo kwa wachezaji wa timu pinzani ni muhimu akaongeza umakini licha ya kuwa ni namba sita Post navigation Previous: TABORA UNITED WATUMA UJUMBE HUU AZAM FCNext: FREDDY NA GUEDE HAPA VIPI? CHAMA AFUTA MABAO YAKE