Cheza na Ushinde kwa Kadi Kasino ya Poker Teen Patti Ndani ya Meridianbet

Habari yako mpenzi wa Michezo ya Kasino, leo nataka kukupekea kwenye ulimwengu wa Poker Teen Patti. Kama hujapata fursa ya kucheza poker na kadi tatu hadi sasa, sasa utakuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Fursa hii imetolewa na mtengenezaji wa michezo ya kasino ya mtandaoni anayeshirikiana vizuri na Meridianbet, Evoplay kupitia mchezo wao mpya wa Poker Teen Patti. 

 

Teen Patti ni mchezo wa zamani ambao una historia ndefu katika mila ya familia ya Wahindi. Labda itakukumbusha Texas Holdem Poker, lakini tofauti na Holdem, mchezo huu wa kasino ya mtandaoni hauna kadi zinazopatikana mezani. 

 

Kwa maneno mengine, unatengeneza ushindi wako kwa kadi tatu tu unazoshikilia. Ni wakati mzuri wa poker. Cheza Poker Teen Patti na ufurahie maokoto kila mzunguko na bonasi kibao za MERIDIANBET.

 

Poker Teen Patti ni mchezo wa mezani ambao lengo lake ni kushinda mikono ya muuzaji. Pesa ya chini inayopaswa kuwekwa kwa kila raundi ni 100 TZS wakati pesa ya juu ni 20,000/= TZS. Chini upande wa kulia, utaona picha za chipu za poker na kila chipu ina thamani tofauti. Thamani ya chipu ni sawa na thamani ya 20 TZS.

 

Kuanza kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, lazima kwanza uweka dau la Ante. Hii ni lazima na bila hivyo hakuna mchezo. Ukifanya hivyo, chaguo la Kugawa litafunguka na mchezo utaanza. Wewe na muuzaji mtapewa kadi tatu zilizofunikwa.

 

Baada ya hapo, utapata chaguzi mbili mbele yako: Kuona (See) na Kipofu (Blind). Ikiwa utachagua kubofya kitufe cha Kuona, kadi zako zitafunguliwa wakati kadi za muuzaji zitabaki zilizofunikwa. Baada ya hapo, chaguo la Bet au Fold litajitokeza mbele yako. 

 

Ikiwa utabofya chaguo la Fold, utatupa kadi zako na kupoteza dau lako. Ikiwa utachagua chaguo la Bet, utaweka dau sawa na mara mbili ya thamani ya Ante na kisha muuzaji atafunua kadi zake na mshindi atalipwa.

 

Kingine cha muhumi Zaidi ni kwamba mchezo huu wa kasino ya mtandaoni Poker Teen Patti, unachezwa na kadi 52 na hakuna matumizi jokeri. Mchezo umewekwa kwenye meza ya kijani inayotumiwa sana kwa michezo ya kasino ya mtandaoni kama poker na alama ya mchezo iko katikati ya meza. Juu upande wa kushoto na kulia kuna mabano ya kuchezea, na katikati juu ya meza utaona idadi kubwa ya chipu za kuchezea.

 

Utajiri unakusubiria, anza safari yako yenye matumaini kwa kucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni Teen Patti.

NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino mtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz