KMC 0-3 YANGA, JAMHURI, MOROGORO
FT: Uwanja wa Jamhuri, Morogoro KMC 0-3 Yanga Goal Pacome dakika ya 60 Goal Muadthir Yahya dakika ya kwanza, 53 Bao la mapema zaidi kwa Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara limefungwa mzunguko wa pili na Mudathir Yahya Uwanja wa CCM Kirumba dakika ya kwanza. Ikumbukwe kwamba bao la kwanza kwenye mzunguko wa kwanza lilifungwa…