
SIMBA YAGAWANA POINTI NA AZAM FC
UBAO wa Uwanja wa CCM Kirumba umesoma Simba 1-1 Azam FC na mwamuzi wa kati alikuwa ni Ramadhan Kayoko Ni Prince Dube alianza kufunga dakika ya 14 bao hilo likawekwa usawa na Clatous Chama dakika ya 90 kwa pigo la faulo. Wanagawana pointi mojamoja huku wakiachwa kwa pointi 7 na vinara Yanga wenye pointi 37…